Baada ya ukimya wa saa kadhaa, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amesema matokeo ya jana Jumatano, Januari 22, 2025 ya uchaguzi wa chama hicho ...
Aidha kwa upande wa Tanasha Donna ambaye pia amezaa na Diamond, Zari amesema licha ya urembo wake lakini hafai kwenye kipindi ...
Raia wa China, Liang Zhou Liang (37) na Happyphania Chupaza (31) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Zaidi ya wananchi 1,500 katika Kijiji cha Mashese kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wameondokana na gharama za matibabu baada ya serikali ya kijiji hicho kuwapatia bima.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imekutana na Tume ya Tehama ili kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kukuza ...
Baada ya kuandamwa na kesi mfululizo za unyanyasaji wa kingono, hatimaye rapa Diddy ameamua kurudisha mashambulizi. Anadaiwa ...
Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza imepanda miti 633,000 katika kipindi cha Julai hadi Desemba 30, 2024 ikiwa ni nusu ya malengo yake ya kupanda miti 1,500,000 waliyopangiwa na ...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema umefika wakati sasa kuongeza nguvu ya ulinzi katika Ghuba ya ...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa sehemu nyingi za starehe, isipokuwa za ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Bangros Sikaluzwe (37), mkazi wa Ilolo, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma ...
Wanafunzi watano walioandika lugha za matusi kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne wataadhibiwa na wazazi wao.
Manchester City imemsajili nyota wa Eintracht Frankfurt, Omar Marmoush, kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo City ...