Aidha kwa upande wa Tanasha Donna ambaye pia amezaa na Diamond, Zari amesema licha ya urembo wake lakini hafai kwenye kipindi ...
Raia wa China, Liang Zhou Liang (37) na Happyphania Chupaza (31) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...
Baada ya kuandamwa na kesi mfululizo za unyanyasaji wa kingono, hatimaye rapa Diddy ameamua kurudisha mashambulizi. Anadaiwa ...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema umefika wakati sasa kuongeza nguvu ya ulinzi katika Ghuba ya ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imekutana na Tume ya Tehama ili kujadili masuala mbalimbali yenye lengo la kukuza ...
Kwa Bongo ni nadra kukuta nyimbo za hip-hop zikipendwa na wanawake ama kuchezwa sehemu nyingi za starehe, isipokuwa za ...
Wanafunzi watano walioandika lugha za matusi kwenye kwenye mitihani ya kidato cha nne wataadhibiwa na wazazi wao.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limezuia matokeo ya wanafunzi 459 wa kidato cha nne mwaka 2024 kwa sababu mbalimbali ...
Wakati baadhi ya watu nchini wakiogopa kufungwa gerezani hata kama wametenda makosa, hali ni tofauti nchini Japan ambako ...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Shinyanga imemhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Nkwabi Joseph, baada ya kumkuta na hatia ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Bangros Sikaluzwe (37), mkazi wa Ilolo, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma ...
Manchester City imemsajili nyota wa Eintracht Frankfurt, Omar Marmoush, kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo City ...