Kiasi gani ni kupita kiasi? Hilo ndilo swali ambalo wengi nchini India wanauliza huku sherehe za harusi ya mtoto wa kiume wa tajiri mkubwa zaidi barani Asia, ikiingia awamu ya mwisho. Sherehe hizo ...
Mwanamuziki Mmarekani Beyoncé amefanya tamasha kwenye sherehe za kifahari zinazokaribisha harusi kubwa nchini India. Isha Ambani, binti ya wa mwanamume tajiri zaidi nchini India anafunga ndoa na ...